lirik lagu wale mang’aa – vdj jones
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
sini*si ni wale wabaya wacha kushangaa
na hatuna haya na hii umang’aa
niko juu ya jaba nikiteremsha chang’aa
na niko na mbogi yangu nikute kwa mtaa
tukitesa kila siku vile inafaa
usingizi iliisha hujalala siku saba
mguu zetu chafu bado unageu sana
equalizing, miti ni dawa
mangoko wote wako na umang’aa
mangati wote wako na umang’aa
mtaa sote tuko na umang’aa
kama hujui sisi wote ni walee
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
shada imekazwa ndo ishikishi
napita nikikata nikisip sip
napiga hiyo kitu ina pisi pisi
ukiona mi na mbulu jua niko masii
nakemba wambo, shiko, joy na mercy
hizo shimo zote mi nina ma*key
nakata pia lucy na cassey
toboa, kasongesho, brikicho, hicho hicho
kalongongo na kanono
kilokolo cha mbao
huchengwa ngwa kwa grao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
odi wa murang’a ni ka nimemeza tongs
na leo katashika tu bila jing jongs
na rieng niko ready tu camera ikiwa on
na hao mangeus hapo kando walegeze thong
mangwati mingi mingi kendo ngiri thirty
mangwai mingi mingi kendo mkoko thirty
mi sina akili mi hutemea hadi wale mate
mi humwaga ka chizi sipanguzi ndo ulambe
singekuwa mkenya ningekuwa peddy wake
ka angekuwa getho ningemtoka saddles zake
leo sidai beef sapa nakula sistake
na beat ishamada, kelly twende tukakate
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana wa mabibi zao
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu seto1 › lirik lagu co tam – seto1
- kumpulan lirik lagu mothy 悪ノp › lirik lagu princess sandman’s gift – mothy (悪ノp)
- kumpulan lirik lagu deca › lirik lagu milk – deca
- kumpulan lirik lagu king rami › lirik lagu remember days – king rami
- kumpulan lirik lagu exo › lirik lagu 같이해 (together) – exo
- kumpulan lirik lagu honeychrome › lirik lagu see through me – honeychrome
- kumpulan lirik lagu helene fischer › lirik lagu let it snow – helene fischer
- kumpulan lirik lagu viper › lirik lagu now i finally want fame (murda urself my man) – viper
- kumpulan lirik lagu reconnaissance › lirik lagu be true – reconnaissance
- kumpulan lirik lagu doperman › lirik lagu breezer – doperman