lirik lagu gangster memes – wakadinali
kuna bash kw*ngu na ako ndethe
huyo ni nani ni munga ni mimi
cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
anaweza mawezere wezere
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster
ati unabonga gangster na uko na memes
ooh dodo, dosh
niko sema nilipata missed calls
mi huzima tenje niko riko
hohohoho
alah! kabisa walichora
wali agree nilikwara
next door neighbour
alibadilisha simu after covid
wah!
nategеa teo w*ngwa
street life ni curriculum
nangojea еxams munga nimeichambua
kuna bash kw*ngu na ako ndethe
huyo ni nani ni munga ni mimi
cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
anaweza mawezere wezere
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster
ati unabonga gangster na uko na memes
sa mbona ni, unja ni
piga mboka mpka mtaani
dunga ngithe pesa money
bonya ugali mpaka maini
cheza rwimbo cheza chini
ughaibuni, ughaibuni kwa wahuni
kuna bash kw*ngu na ako ndethe
huyo ni nani ni munga ni mimi
cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
anaweza mawezere wezere
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster
ati unabonga gangster na uko na memes
ahahahaha, aiyayayaya…
ndo iyo ndo iyo
leta…
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu tom brock › lirik lagu there’s nothing in this world that can stop me from loving you – tom brock
- kumpulan lirik lagu liim ace kamakaziii kei u g l y element › lirik lagu hit list – $liim ace & kamakaziii kei – u.g.l.y. element
- kumpulan lirik lagu die arzte › lirik lagu deine schuld – die ärzte
- kumpulan lirik lagu alison crevi › lirik lagu alison crevi’s “katherine and sierra’s annotation practice #1” – alison crevi
- kumpulan lirik lagu claudio capeo › lirik lagu je sais pas vous – claudio capéo
- kumpulan lirik lagu eldo › lirik lagu życie – eldo
- kumpulan lirik lagu animus › lirik lagu statistik – animus
- kumpulan lirik lagu loud lary ajust › lirik lagu joy division – loud lary ajust
- kumpulan lirik lagu v dash › lirik lagu gotta make a choice – v-dash
- kumpulan lirik lagu ski beatz › lirik lagu heaven is – ski beatz