lirik lagu bleki – wakuu music
hahahahahaha ni wakuuu
odi wa murang’a
(domi deal on beats)
nimejibeba na kitu kama rungu ya masai
huwa sijipangi naipiga vile naiwahi
wakuu wanapendaga sana nikiwa mangwai
we cheza nayo kaa ukujua nakwandalia tu sai sai
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi nibleki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki (musheki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi nibleki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki
[odi wa murang’a]
odi wa murang’a sina carrot kwa meno
tena ndo nacheki kuna carrot kwa menu
leo silambi paka mi naikula na meno
papasa papasa na ikiwasha paka menthol
ukiria, cokia
shaya, shaya, shaya
ukiria, cokia
shaya, shaya, shaya
niko kwa kitchen yako na manzi yako
tunakula vako
na ukikawia namchangamkia
tukiwatch flaqo
niko kwa kitchen yako na manzi yako
tunakula vako
na ukikawia namchangamkia
tukiwatch flaqo mmmh
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi niblеki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati niblеki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki (musheki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi nibleki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki
pumpum ongeza spike nikitoka madrama
pumpum nachambua nikihesabu mambramba
chum chum nipige pek waonyeshe nani papa
kungfu nachangamsha na mistari ni blunder
hizi chuom so napita nikichemba kama wakanda
fum fum madenge nakemba kama waganga
kwom kwom na kama ni protection nimejipanga
ni home ka unakuja soo ya gwai umejipanga
nakanyaga beat blunder man
kama ni p*ssy naimada man
naikanda man naishanda man
siwezi kusleki naipanda man
utadhani amekorogewa
vile huwa naic*ck ka gun
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi nibleki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki (musheki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi nibleki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki
niko na bash sina tei nina ngwai ngwai
mi ni ka abass na pass kofi kipei sai
mi huwa naslash turi na shash
na color clash nabeba wote na ng’at
unakaza ass na rungu imejazwa gas
zidi kublush mi ni buda huwacrush
nataka kuku buji za fu2
niko na zuku tu kwa keja ndugu
mi ni ka papa yesu wa mulungu
ongeza ngata nishapiga looku
niko na rush ya kukula crush
mi nikiland nataka zote zikam
nimejibeba na kitu kama rungu ya masai
huwa sijipangi naipiga vile naiwahi
wakuu wanapendaga sana nikiwa mangwai
we cheza nayo kaa ukujua nakwandalia tu sai sai
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi nibleki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki (musheki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
atanipea hadi nibleki (hadi nibleki)
ashaniambia atanipea hadi nibleki (ati nibleki)
na mi ni kichwa mbaya naipiga mamsheki
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu militantes del climax › lirik lagu chinatown battle – militantes del climax
- kumpulan lirik lagu cosculluela › lirik lagu hola beba – cosculluela
- kumpulan lirik lagu felipe felix › lirik lagu ao vivo – felipe felix
- kumpulan lirik lagu blitzo glyphics › lirik lagu picking at hives – blitzo.glyphics
- kumpulan lirik lagu blitzo glyphics › lirik lagu my brain hurts – blitzo.glyphics
- kumpulan lirik lagu tenth avenue north › lirik lagu fighting for you – tenth avenue north
- kumpulan lirik lagu church › lirik lagu alotta funds – church
- kumpulan lirik lagu drew famous › lirik lagu no idea – drew famous
- kumpulan lirik lagu nummiranta takahahmot › lirik lagu ihmeellinen elimistö – nummiranta & takahahmot
- kumpulan lirik lagu two door cinema club › lirik lagu gasoline – two door cinema club