lirik lagu bazuu – watendawili
selee loooh saahh
sahhh yo yo yoh mama, mama
nilitaka nikupe penzi ya kiasi cha juu
wewe uka amua uta endea ma bazuu
sasa nashindwa mama yohhh ni nini ntadu?
ama juu me sina madoh umeniacha tu???
african angelina joline (ooh mama)
unaniacha juu ya money (don′t go mama)
african angelina joline mama (yoh mama)
una niambia me ni mtoiiii
unataka tu maa. (bazu bazu bazu)
unataka ma buda. (bazu bazu bazu)
unataka ma buda. (bazu bazu)
mamamamamahhh. (bazu bazu)
unge weza kunipea tu fursa
kila kitu unahitaji ningekupa
maisha ya panda shuka we hautaki
sasa me nategemea tu bahati
unataka kutengenezewa kucha (kila wiki yoh)
nywele pia unataka zakutoka abuja (hazifiki no)
aki benki kweli mimi ntavunjaaa
shilingi zangu tano ntakupaaa
african angelina joline
usini sare juu ya money
african angelina joline
wacha kusema me ni mtoi
unataka tu maa.(bazu bazu bazu)
unapenda ma buda. (bazu bazu bazu)
unataka tu ma… (bazu bazu bazu)
unapenda ma buda (bazu bazu bazu)
sina pesa kama ma. (bazu bazu bazu)
sina mali kama ma. (bazu bazu bazu)
me ni kijana tu bado (bazu bazu bazu)
sina pesa sina mali (bazu bazu)
che cheza
sema nami orchestra watendawili ehh
ayooooo cheza cheza yohhhh
ehh papa sunbreeze manento
ehh mama sunbreeze merci
lalala bazu wanachukua wasichana
wanaenda nao vijana hamna bahati round hii
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu eric el nino › lirik lagu yeah boy! – eric el niño
- kumpulan lirik lagu la bien querida › lirik lagu ojalá estuvieras muerto – la bien querida
- kumpulan lirik lagu thyla › lirik lagu two sense – thyla
- kumpulan lirik lagu phantaboulous › lirik lagu diamond heart – a minecraft parody – phantaboulous
- kumpulan lirik lagu sixfeet › lirik lagu delírium – sixfeet
- kumpulan lirik lagu solo los solo › lirik lagu la del perro – sólo los solo
- kumpulan lirik lagu uglyfrank › lirik lagu 90 – uglyfrank
- kumpulan lirik lagu starscream the giant › lirik lagu it’s lit – starscream the giant
- kumpulan lirik lagu danity kane › lirik lagu rhythm of love (album version) – danity kane
- kumpulan lirik lagu cody bryan band › lirik lagu corpus christi heartbreaker – cody bryan band