lirik lagu ni come – weusi
eeeeeh
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
unanifanya nije
unanifanya nicome
unanifanya nije
nicome(yea yea yea)
unanifanya nije
ni tam(yea yea yea)
nicome(yea yea yea)
unanifanya nije
ni tam(yea yea yea)
fashion you drive me crazy
mitindo mipya daily
utamu niteleze
unishi aniongezee
wafanya nije upesi
unaniachaga mwepesi
unafutaga mastress
nachopendaga huringi
madili pili kwa wingi
rand madola shilingi
kitaa sitakata ringi
we are redeemer(ayayaa)
narindima
mgoshuandima(wee yeah wee yeah)
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
unanifanya nije
unanifanya nicome
unanifanya nije
nicome(yea yea yea)
unanifanya nije
ni tam(yea yea yea)
nicome(yea yea yea)
unanifanya nije
ni tam(yea yea yea)
mchezo matanuzi kipa goal
kila tukirudi kisago
kila nikirudi ni trouble
ni trible
ni dampa nasweka lupango
nisije viruga mipango
na joka lishatoka pango
na watoto wanakaa mpaka we dim
nateka toto zote dsm
naleta mafrekechenism
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
unanifanya nije
unanifanya nicome
unanifanya nije
nicome(yea yea yea)
unanifanya nije
ni tam(yea yea yea)
nicome(yea yea yea)
unanifanya nije
ni tam(yea yea yea)
nakuja baru baru vile umenigaragaza
kifaru faru john vile ninawashangaza
nakuja kama serikali kuu ya kuliwaza
nakuja kwenye ziwa mama nimetua mwanza
nakuja ile kidakawa au kilakala
kama nmetoka bodi ni falafala
na nikicome nasimama sio kulala
namaanisha leo usiku hakuna kulala
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
ni taamu
unanifanya nicome
unanifanya nije
unanifanya nicome
unanifanya nije
unanifanya nicome
unanifanya nije
unanifanya nicome
unanifanya nije
eh
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu pe1 crew › lirik lagu the commence [prod. savage] – pe1 crew
- kumpulan lirik lagu threshold › lirik lagu the shire (part 2) – threshold
- kumpulan lirik lagu yreva › lirik lagu batman/hold up – yreva
- kumpulan lirik lagu ferctak › lirik lagu kill the duck – ferctak
- kumpulan lirik lagu masayoshi takanaka › lirik lagu china – masayoshi takanaka
- kumpulan lirik lagu nico santos › lirik lagu rooftop – nico santos
- kumpulan lirik lagu xantana red › lirik lagu the race (remix) – xantana red
- kumpulan lirik lagu ofb › lirik lagu d&g – ofb
- kumpulan lirik lagu fumar › lirik lagu body rot – fumar
- kumpulan lirik lagu bioniki › lirik lagu lambo 2030 – bioniki