lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mi amor – whozu

Loading...

estukiz bebi

nainua mkono mama
moyo w*ngu mweupe
ishara ya mapenzi mama
too much money
mi amor mi amor

bebi sinzia kifuani fofo
tega leo zamu yako
naipani kamia yako show

hakuna kuomba poo
tunayofanya chumbani usiweke hadharani wakaona
kwako mimi abadani tena sishindani, nimekoma

usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndooo
mimi kwako kama mchungaji we ndo kondoo
nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha
kama mgonjwa napona
aiii mama najidekeza, najitamba kwako

nikikwona nahisi raha
kama mgonjwa napona
aiii mama najidekeza, najitamba kwako

mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor

nitazame bebi nishike shingoni
yako mipapaso maruhani
nik*mbate unaponikisi mdomoni
nilichoonja kwako sikitemi
mie natamani leo mpaka kesho tusije gombanaa
toka zamani niko nawe, kufa kufaana

ooh bebi
usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndoo
mimi kwako kama mchungaji wewe ndo kondoo
nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha
kama mgonjwa napona
aiii mama najidekeza, najitamba kwako

nikikwona nahisi raha
ka mgonjwa napona
aiii mama najidekeza, najitamba kwako

mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor
mi amor. mi amor

nainua mkono mama
moyo w*ngu mweupe
ishara ya mapenzi mama
mi amir mi amor

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...