lirik lagu naiye – wiista
mmmh, elly da bway on the beat-2
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wa maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiyeee mama nitaumia moyo, mimiii aaaa
verse;
roho yako ya bahati,
na upole wa farasi,
jicho lako la samaki,
kamwe hawakupati,
sweety kiuno chako kama dondora,
nalia na nafsi yangu namwomba mola,
mpole na mwenye heshima my love,
nishakupa moyo wote you know,
penzi lako ni la dhati,
na halina masharti,
limenivaa kama shati,
kamwe hawakupati
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wako maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiye mama nitaumia moyo, mmiiii aaaa
verse 2:
gubika gubua, we ndo wa ndoa,
pika pakua lazima nitakuoa,
nakusaka saka saka sikuoni,
eti k-mbe uko hapa, embu wacha utaani,
unavyodeka deka deka deka kifuani,
unanifurahisha rohoni,
gubika gubua we ndo wa ndoa,
pika pakua lazima nitakuoa
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wa maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiye mama nitaumia moyo, miii aaaa
bridge:
baby here they and they go,
and you are the only my girl,
you put me on top of the world,
you making me feel like i own it all (you are my lover eeh-2)
chorus:
naiye bila we sina raha,
naiye bila we ni karaha,
urefu wako wa shingo,
mwendo wa maringo,
usiniache single,
ukawafata wenye bingo,
naiye mama nitaumia moyo, mimiii aaaa-2
outro:
yoh, its your boy wiista,
i love you girl, i love you,
i had to do it for you, my loove, naiyee
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu sheldon › lirik lagu fumée – sheldon
- kumpulan lirik lagu 한희정 han hee jung › lirik lagu 휴가가 필요해 (i need a vacation) – 한희정 (han hee jung)
- kumpulan lirik lagu atom petrify › lirik lagu what if? – atom petrify
- kumpulan lirik lagu anh khoa › lirik lagu người từng yêu – anh khoa
- kumpulan lirik lagu chris yang › lirik lagu precious thoughts – chris yang
- kumpulan lirik lagu simii › lirik lagu woman – simii
- kumpulan lirik lagu 616 jeff › lirik lagu efêmera – 616 jeff
- kumpulan lirik lagu no anger control › lirik lagu head case – no anger control
- kumpulan lirik lagu kingdmusic calledout music › lirik lagu nobody like you – kingdmusic & calledout music
- kumpulan lirik lagu official53crew › lirik lagu nex – official53crew