lirik lagu la la la – willy paul
naimba toka motema ooh baby usije nitema
naimba toka motema ooh baby usije nitema
baby i never thought they’d come a day
ninge fall in love like this
i never thought they’d come a day
ninge fall in love like this
walahi this is love this is love this is love that i’m feeling
this is love this is love this is love that i’m feeling
baby niko sure nataka kuwa na wewe only you
niko sure nataka kuishi na wewe only you uuh
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
and i can’t do without you nakupenda na na nakuta
and i can’t live without you nakupеnda na na nakutaka
ooh lala lalalalala, lalalalala ooh lala lalalalala lalalalala
jovi ona polisi anavolia mpaka mufungwa anamubembeleza
k*mbе mapenzi haitambui hata wenyu bunduki
inapepeta tu kama risasi
kama water fall
mapenzi yana tiririka mwilini mw*ngu
mapenzi ni ya wawili
nimalize nibaki kiwili wili
nimefall in love
nimefall in love, fall in love
nimefall in love
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
ooh baby na nakupenda, na na nakutaka
and i can’t do without you nakupenda na na nakuta
and i can’t live without you nakupenda na na nakutaka
ooh lala lalalalala, lalalalala ooh lala lalalalala lalalalala
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu black brut › lirik lagu la flemme – black brut
- kumpulan lirik lagu marisol › lirik lagu bossa nova junto a ti – marisol
- kumpulan lirik lagu sierra kidd › lirik lagu fussmatte – sierra kidd
- kumpulan lirik lagu cey steele › lirik lagu blue – cey steele
- kumpulan lirik lagu switchfoot › lirik lagu the beautiful letdown – switchfoot
- kumpulan lirik lagu jay tri11a › lirik lagu ninth – jay tri11a
- kumpulan lirik lagu the map room › lirik lagu list of things – the map room
- kumpulan lirik lagu rex pharaph › lirik lagu false world – rex pharaph
- kumpulan lirik lagu k i d d us › lirik lagu kysset med jamel (feat. djšmes braun) [remix] – k.i.d.d. (us)
- kumpulan lirik lagu dame › lirik lagu jetzt wird gezockt – dame