lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nye – willy paul

Loading...

oh, yoyo, yoyo, yoo (okwonnkwo)
oh, yoyo, yoyo, yeah (pozee)
alisema kwake ni kama kw*ngu
eti pozze feel at home
akasema bila mimi hawezi ku*function
ni kama mdomo bila mate
pia mimi alinishow hana mambo mob
akajifanya holy jo
niko na message kwa phone
k*mbe alichapwa na kevo na brayo
baby punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye (ata mamangu hakutaki)
baby punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye (huyu katoto)
punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye, baby (ata mamangu hakutaki)
punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye (punguza manyege)
huyu manzi ananibamba
lakini ubaya anapenda kugagagawa
naskia anadai wazee walisema
miti ni dawa
na mi alinishow penzi lake kw*ngu
ni ya power
yake ni pata potea
kata ka stima kenya power
ye hupost ndethе ig
alafu anaandika caption moja deep
wacha chocha
toto anapenda manyundo
nilidhani katoto, toto
k*mbe nadeal na ka po*ko (oh)
baby punguza ma nyе (nye, nye)
punguza ma nye (ata mamangu hakutaki)
baby punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye (huyu katoto)
punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye, baby (ata mamangu hakutaki)
punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye (punguza ma nyege)
katoto kanapenda ngwati
ngwati, ngwati, eeh
katoto kanapenda ngwati
eeeh
kukupiga busu ni ka kukiss esto
hizi lips nitaziosha na dettol
nilidhani you are humble and loyal
k*mbe kazi yako ni kugurumisha freno
nilidhani mi hukulima tu vifiti
k*mbe kuna mwingine hukupiga miti
mmh, we ni wa kamati
unalimwa na kamati
baby punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye (ata mamangu hakutaki)
baby punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye, ii
punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye, baby (ata mamangu hakutaki)
punguza ma nye (nye, nye)
punguza ma nye (punguza ma nyege)

lirik lagu lainnya :

YANG LAGI NGE-TRENDS...

Loading...