lirik lagu kwetu uswazi – young wizard the kerokaboy
kuja huku kwetu uswazi uone venye tunaishi ×6
(enda pole son)
sa mbona unajifanya hunijui,(uh,uh)
kwani wasanii unasikiliza ni tofauti na mi,(uh,uh)
nishaelewa hauelwei najua haueleweki
siwezi kupush akili yako ndo ufikiri
(pandisha mzuka)
sista duu usiniletee pozi ukiskia nakutaka
bora kuachwa na dem lakini sio muda,(uh uh)
najiona sina kasoro na iyo ndio kasoro
kujiona sina kasoro wakati binadamu kasoro/(come on)
(enda pole son)
kama dem wako kicheche washa gas pika sembe
utashinda naye guest akitoka anameza tembe/(uhh)
usiniite mtume sababu siamini mungu
kama unajiamini niguze saa ii nikugeuze bubu(jaribu)
(pandisha mzuka son)
n-gg-rs wana magnum,mary j na roho baridi
utawakuta gizani wana roho za -ssasins/(d-mn)
kuhusu bwana yesu izo stori mi sijui
najua tu pastor wanaotumia black magic/(ukweli)
kuja huku kwetu uswazi uone venye tunaishi ×4
(enda pole son)
peleka habari,yule chizi katoroka,(kaseme)
hosiptali wananijua nenda kaulize madoctor/
nakunja mkono napiga nyeto kisha nacheka,(huuuùuh)
k-mbe najipenda,si kupendana ni ujinga/
(pandisha mzuka son)
sina picha za mapozi ka aim global(come on)
unatoka kulamba lolo kisha una-kiss watoto,(nkt!!!)
nishaona maajabu nasubiri jua usiku
siri zako ziko wazi nani kazileta huku
(enda pole son)
mi ndio mchapa kazi mwenye kazi za kuchapa, uh
ila sio kila kazi kuna kazi za kuacha
ukishindwa kujipanga,umepanga kushindwa
endelea kulala ila huwezi lalisha masaa
(pandisha mzuka son)
natembea juu ya maji utasema nimekosa nauli, (jesus)
navyo-rudisha medals unaeza niita daudi
ukiwa na afya njema ndo utasaka chapaa
wa kwanza kukutakia mema is always your mamaa
kuja huku kwetu uswazi uone venye tunaishi ×4
(enda pole sana)
ukitaka kujua njia uliza anayerudi,(ukweli)
usinipesmile wakati ndani umejaa chuki
kama jela shule kapeleke mwanao
napakua ugali wa moto usimege nono nono
(pandisha mzuka son)
hii ni trailer,ngojea nikuletee part one
mipango bila hela, ni kelele za nyani
ata nilipofika nikikwambia haikusaidii
maana hizi hatua najua hauzifikii,(never)
kuja huku kwetu uswazi uone venye tunaishi ×4
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu oberhofer › lirik lagu someone take me home (demo) – oberhofer
- kumpulan lirik lagu las migas › lirik lagu a la luz de la vela – las migas
- kumpulan lirik lagu vince staples and lavish › lirik lagu more mili – vince staples and lavish
- kumpulan lirik lagu freshofficial › lirik lagu st. tropez (freestyle) – freshofficial
- kumpulan lirik lagu reese witherspoon › lirik lagu it ain’t me babe – reese witherspoon
- kumpulan lirik lagu fard › lirik lagu in dein g sicht – fard
- kumpulan lirik lagu bellows › lirik lagu see bright, be fine – bellows
- kumpulan lirik lagu massiv › lirik lagu ghettolied intifada – massiv
- kumpulan lirik lagu vinsanity › lirik lagu polyamory – vinsanity
- kumpulan lirik lagu secret empire › lirik lagu ginona plane – secret empire