
yalaaaa - zuchu lyrics
Loading...
mmmmh kaniumbua umbua
anavyonidadavua
vitu flani vya kusisimua
chachambu anavyo ichambua
hunipa ning’ate ng’ate
mikato nikate kate
igande inate nate
itelezeshwe kwa matee
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kama samaki hulumangia
huanza kichwa mpaka na mkia
naiomba serikali
kijana apelekwe mbali
ananifanya silali, siwazi, sitafakari
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
Random Song Lyrics :
- do what i want when i want to - a.j. (rap) lyrics
- beam attached - kashrawww , dusav lyrics
- perd le nord - totoche lyrics
- big fat lipper - riifty lyrics
- sculptures - i remember 2006 lyrics
- neo punk - iggy pop lyrics
- forever home - dolly parton lyrics
- keine wahl - apollson lyrics
- lil booty - aleza lyrics
- racing - veryspecialed lyrics