lirik lagu yalaaaa – zuchu
Loading...
mmmmh kaniumbua umbua
anavyonidadavua
vitu flani vya kusisimua
chachambu anavyo ichambua
hunipa ning’ate ng’ate
mikato nikate kate
igande inate nate
itelezeshwe kwa matee
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kama samaki hulumangia
huanza kichwa mpaka na mkia
naiomba serikali
kijana apelekwe mbali
ananifanya silali, siwazi, sitafakari
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu travis wright › lirik lagu i can do better :) – travis wright
- kumpulan lirik lagu prince omane › lirik lagu crazy chick – prince omane
- kumpulan lirik lagu mc buzzz › lirik lagu no hay 2 – mc buzzz
- kumpulan lirik lagu suavitys mouthpiece › lirik lagu benefits odder pennsylvanians – suavity’s mouthpiece
- kumpulan lirik lagu shwabadi › lirik lagu second chance – shwabadi
- kumpulan lirik lagu lana del rey › lirik lagu blue skies – lana del rey
- kumpulan lirik lagu daxluthor › lirik lagu h2o – daxluthor
- kumpulan lirik lagu vai5000 › lirik lagu do you still feel – vai5000
- kumpulan lirik lagu chivas › lirik lagu opium! ver beta – chivas
- kumpulan lirik lagu kylie minogue › lirik lagu confide in me (live in new york) – kylie minogue