lirik lagu amelowa – harmonize
hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh
binti wa makamo come closer na give me some more
kama tunda lilimshinda adamu akashindwa kuvumilia
sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia
ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
hivi ni kweli ama tunaigiza
moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
mi ndo fundi wa raha zake natw*nga nakukoboa
alinik*mbatia mkono wa kushoto kwenye gia
zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
amelowa, amelowa amelowa na mvua
amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba
jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilamba
moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
mi ndo fundi wa raha zake natw*nga nakukoboa
alinik*mbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
na nilipochuchumia maji yakatoka
amelowa, amelowa amelowa na mvua
amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua
amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
kwenye papara pupa nawona washamba
alinik*mbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia
na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu miu chu › lirik lagu love, and beloved – miu chu
- kumpulan lirik lagu mc brackes › lirik lagu o quinto elemento – mc brackes
- kumpulan lirik lagu ewokabdevito › lirik lagu stream of consciousness rap – ewokabdevito
- kumpulan lirik lagu anton serra › lirik lagu commérages – anton serra
- kumpulan lirik lagu somali yacht club › lirik lagu loom – somali yacht club
- kumpulan lirik lagu young › lirik lagu the sermon – young
- kumpulan lirik lagu mista red › lirik lagu throed flo – mista red
- kumpulan lirik lagu bankie travolta › lirik lagu nutcase – bankie travolta
- kumpulan lirik lagu illegit › lirik lagu d.i.y. – illegit
- kumpulan lirik lagu taylor james williams › lirik lagu you belong to me – taylor james williams